Sure. Baki TVS hizi mashine nyingine ngeni ungesubiria.Nunua Tvs iunge bolt, Uber, indrive na farans
Milioni 8 ni nyingi sana pia bajaj ziko nyingi biashara ambayo inaupinzani wa kutosha siyo biashara. Any business which has un necessary competition is not a businessMil 7.8 ni hela nyingi sana mkuu. Umeiona dukani au kwa wamiliki?
Ushauri:
•Ungeenda kwa mafundi bajaj uongee nao.
•Tafuta mmiliki (dereva) ulieona anaendesha piga nae story mbili tatu.
Weka na picha acha kutupa maelezo peke yakeHabari zenu wana Jamiiforum bila kuwachosha naombeni ushauri juu ya hii bajaji.
Ni kampuni ya Sinoray J3 ina uwezo wa kubeba watu 8, cc 200. inatumia rejeta nimeiona nikaipenda sana na bei yake ni M7.8 maana nimeona kama inafaa zaidi kulingana na idadi ya watu inaobeba.
Naombeni ushauri wenu kuhusu changamoto zake na mapungufu yake kwa wale ambao wamewahi kuzitumia au wanauzoefu na vifaa vya kampuni hii.
Asanteni sana.
Ok any way forward Mr business admin?Milioni 8 ni nyingi sana pia bajaj ziko nyingi biashara ambayo inaupinzani wa kutosha siyo biashara. Any business which has un necessary competition is not a business
Unapotaka kufanya biashara yoyote ile nilazima uijue utaijua baada ya kufanya utafiti wa soko lake hapo nilazima uhusishe kuwaangalia wapinzani wako kwa kujua mapungufu na nguvu za kwajipambua na wewe mwenyeweOk any way forward Mr business admin?
Picha tafadhaliHabari zenu wana Jamiiforum bila kuwachosha naombeni ushauri juu ya hii bajaji.
Ni kampuni ya Sinoray J3 ina uwezo wa kubeba watu 8, cc 200. Inatumia rejeta nimeiona nikaipenda sana na bei yake ni M7.8 maana nimeona kama inafaa zaidi kulingana na idadi ya watu inaobeba.
Naombeni ushauri wenu kuhusu changamoto zake na mapungufu yake kwa wale ambao wamewahi kuzitumia au wanauzoefu na vifaa vya kampuni hii.
Asanteni sana.