Messenger Studio
Member
- Sep 23, 2022
- 28
- 25
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka 2024 mwezi wa nane. Nimesoma mambo ya uhandisi wa mashine zote za Hospital, Kwasasa naishi maeneo ya Nyegezi Mwanza mtaa wa Nyamazobe. Nina kiasi cha Tshs 400, 000 (Laki nne) pamoja na laptop, naombeni msaada wa ushauri nifanye mishe gani ili niweze kujikwamua kiuchumi kwasababu naona mtaani pagumu sana. Sipendi kujiingiza katika vitendo viovu.
Nitangulize shukrani 🙏🙏
Mungu awabariki Nyote.
Nitangulize shukrani 🙏🙏
Mungu awabariki Nyote.