Messenger Studio
Member
- Sep 23, 2022
- 28
- 25
Tafuta ndugu au rafiki uliemuacha form4 akushike mkonoMimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka 2024 mwezi wa nane. Nimesoma mambo ya uhandisi wa mashine zote za Hospital, Kwasasa naishi maeneo ya Nyegezi Mwanza mtaa wa Nyamazobe. Nina kiasi cha Tshs 400, 000 (Laki nne) pamoja na laptop, naombeni msaada wa ushauri nifanye mishe gani ili niweze kujikwamua kiuchumi kwasababu naona mtaani pagumu sana. Sipendi kujiingiza katika vitendo viovu.
Nitangulize shukrani ππ
Mungu awabariki Nyote.
DegreeBiomedical Engineering umesoma Degree au Diploma? Una cheti cha ERB?
Hapa pesa atapataje mkuu, samahani naomba kuelimishwaAu hiyo laki nne nunua chakula cha kutosha na mahitaji muhimu.
Nunua mic Weka bando la kutosha la Internet, fungua akaunti zoote unazozijua(social network)kisha uwe unajifungia chumbani asubuhi mchana mpaka usiku.
Kazi yako unaokoteza habari latest, hasa mpira na umbeya, kisha unakua unazitolea maelezo kizushi zushi kisha unazipost kwa vichwa vya habari vilivyokaa kijanja, mfano ishu ya diamond iliyotokea kenya unaeza andika hivi '' Duuuh!! Tazama diamond alivyopigwa ngumi na willy Paul"
Au hii ishu ya tundu lissu na mbowe.
Unaeza kuandika hivi, " Tundu lissu KUZIchapa na mbowe live, ccm waingilia kati kuwaamulia"
Kwa jinsi mitanganyika ilivyo mijinga haiwez kuelewa kosa ulilolifanya makusudi kwenye hiyo heading, yatafungua video fasta yaone mbowe na lissu wakipigana, yakifungua yanakutana ukisimulia habari hiyo kwamba tundu na mbowe watapambana kuwania uwenyekiti.
Hii itakuchukua muda lakini ikiboom wewe ni mwendo wa kula dola za mzungu tu
Achana kuwaza mambo uliyosomea yatakupotezea muda
Ila we jamaaa Mungu anakuonaAu hiyo laki nne nunua chakula cha kutosha na mahitaji muhimu.

Unapoingia YouTube na kuangalia video. Unakuta kabla ya video kuplay unaona kuna matangazo, ukiangalia kwa pembeni kuna neno skip. Hayo matangazo ndiyo yanafanya mtu alipwe kulingana na nchi na muda mtu atakaoangalia tangazo.Hapa pesa atapataje mkuu, samahani naomba kuelimishwa
Mkuu hii si wale watu tasnia ya habari wanakusakama kwa kukosa vibali ??Au hiyo laki nne nunua chakula cha kutosha na mahitaji muhimu.
Nunua mic Weka bando la kutosha la Internet, fungua akaunti zoote unazozijua(social network)kisha uwe unajifungia chumbani asubuhi mchana mpaka usiku.
Kazi yako unaokoteza habari latest, hasa mpira na umbeya, kisha unakua unazitolea maelezo kizushi zushi kisha unazipost kwa vichwa vya habari vilivyokaa kijanja, mfano ishu ya diamond iliyotokea kenya unaeza andika hivi '' Duuuh!! Tazama diamond alivyopigwa ngumi na willy Paul"
Au hii ishu ya tundu lissu na mbowe.
Unaeza kuandika hivi, " Tundu lissu KUZIchapa na mbowe live, ccm waingilia kati kuwaamulia"
Kwa jinsi mitanganyika ilivyo mijinga haiwez kuelewa kosa ulilolifanya makusudi kwenye hiyo heading, yatafungua video fasta yaone mbowe na lissu wakipigana, yakifungua yanakutana ukisimulia habari hiyo kwamba tundu na mbowe watapambana kuwania uwenyekiti.
Hii itakuchukua muda lakini ikiboom wewe ni mwendo wa kula dola za mzungu tu
Achana kuwaza mambo uliyosomea yatakupotezea muda
Ooh okay sawa ahsante kwa elimuUnapoingia YouTube na kuangalia video. Unakuta kabla ya video kuplay unaona kuna matangazo, ukiangalia kwa pembeni kuna neno skip. Hayo matangazo ndiyo yanafanya mtu alipwe kulingana na nchi na muda mtu atakaoangalia tangazo.
Zamani ilikuwa kufikisha subscribers 1000 na watch hours 4000 unaanza kulipwa na youtube. Sijui kwa sasa
Software za kuedit video, picha kwa ajili ya thumbnails n.k zinapatikana. Ni wewe na utundu wako tu. Gharama bando tu
- Uwe na account YouTube
- Video za kwako
Tafuta hospital za serikali au binafsi ujitolee ili upate uzoefu, na kazi utapatia huko huko hiyo ni moja ya kozi ambazo ajira zake hata interview huwa hamna kutokana na uhitaji mkubwa wa wataalam wa vifaa tiba.Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka 2024 mwezi wa nane. Nimesoma mambo ya uhandisi wa mashine zote za Hospital, Kwasasa naishi maeneo ya Nyegezi Mwanza mtaa wa Nyamazobe. Nina kiasi cha Tshs 400, 000 (Laki nne) pamoja na laptop, naombeni msaada wa ushauri nifanye mishe gani ili niweze kujikwamua kiuchumi kwasababu naona mtaani pagumu sana. Sipendi kujiingiza katika vitendo viovu.
Nitangulize shukrani ππ
Mungu awabariki Nyote.