Mr-Njombe
Member
- Aug 29, 2022
- 64
- 122
Mabibi na Mabwana, SALAMU.
Mara baada ya salamu, Mimi ni kijana wenu wa umri wa miaka 23. Ni mwenyeji wa Njombe ila kwa sasa nipo masomoni dasalama.
Sitaki uongozi wa siasa kwa sasa ila nawiwa kujifunza siasa kwenye chama ambacho kina sera nzuri, mipango mikakati bora na uelekeo sahihi ambapo naweza kuongeza uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya namna bora ya kubuni, kujenga na kutetea hoja za msingi kwaajili ya kuwatetea wananchi.
Tafadhali sana, naomba ushauri wako. Ni chama gani cha siasa Tanzania kinafaa zaidi kwa ambae hajawahi kujishughulisha na siasa kama mimi?
Samahani kwa usumbufu.
Naomba kuwasilisha.