Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Mkuu low profile GPU ipi ni nzuri, ambayo itafaa kwa PC mfano wa tajwa hapo juu.i5 ama i7 gen ya 8 ni rahisi kupata, naziona jiji i5 hapa kwa 450k, uta edit video kwa program zinazotumia Quicksync.
Then vuta pumzi baadae uvute lowend dedicated gpu.
Mkuu kwenye gpu rendering kila kampuni inakuwa na Accelerators zake, Ya intel inaitwa Quicksync, Nvidia ni NvenC na Amd ana VCE.mkuu low profile GPU ipi ni nzuri, ambayo itafaa kwa PC mfano wa tajwa hapo juu.
Mkuu kwa budget zetu za kuunga unga RTx 40xx ni ndoto, nna mpango wa kufanya kama hapo juu, ninunue optiplex then niweke GPU, so hapo nimekua limited tayari make lazima iwe low profile ndo maana natafuta ya aina hiyo, so ambayo haita vunja budget ni ipi hapo mkuu.Mkuu kwenye gpu rendering kila kampuni inakuwa na Accelerators zake, Ya intel inaitwa Quicksync, Nvidia ni NvenC na Amd ana VCE.
Mara nyingi Nvidia anakuwa vizuri zaidi ila hio Quicksync ya intel ina value zaidi sababu unaipata kwenye machine yoyote yenye intel HD, sema nzuri zaidi ni kuanzia gen ya 11 ama gpu zao za Arc.
Hivyo kama unatumia Accelerators combo ya intel+Nvidia kwa budget ndogo ni nzuri.
Gpu nyingi za Nvidia zina Nvenc mpaka za zamani kama Gtx 750ti, sema zinatofautiana version mfano 750ti inakubali codecs za kizamani kama X264 ila codecs mpya kama Hevc/X265 na Av1 haikubali.
Sasa unaangalia mwenyewe matumizi kama unagota x264 gtx 750ti kupanda, kama unagota x265 ni gtx 1050ti kupanda na kama unataka Av1 basi hizi Rtx 40xx mpya zinapiga codecs zote.
Ila kama upo serious zaidi huwa best way ni kutumia Cpu, tafuta Ryzen ama Intel Gen 12 kupanda zenye core nyingi kadri iwezekanavyo.
1050ti minimum maana X265 siku hizi zinatumika maeneo mengi.mkuu kwa budget zetu za kuunga unga RTx 40xx ni ndoto, nna mpango wa kufanya kama hapo juu, ninunue optiplex then niweke GPU, so hapo nimekua limited tayari make lazima iwe low profile ndo maana natafuta ya aina hiyo, so ambayo haita vunja budget ni ipi hapo mkuu.
NB: Njia yangu ya kununua ni AliExpress make najua hapa bongo ni kizungumkuti.
Mkuu kwenye gpu rendering kila kampuni inakuwa na Accelerators zake, Ya intel inaitwa Quicksync, Nvidia ni NvenC na Amd ana VCE.
Mara nyingi Nvidia anakuwa vizuri zaidi ila hio Quicksync ya intel ina value zaidi sababu unaipata kwenye machine yoyote yenye intel HD, sema nzuri zaidi ni kuanzia gen ya 11 ama gpu zao za Arc.
Hivyo kama unatumia Accelerators combo ya intel+Nvidia kwa budget ndogo ni nzuri.
Gpu nyingi za Nvidia zina Nvenc mpaka za zamani kama Gtx 750ti, sema zinatofautiana version mfano 750ti inakubali codecs za kizamani kama X264 ila codecs mpya kama Hevc/X265 na Av1 haikubali.
Sasa unaangalia mwenyewe matumizi kama unagota x264 gtx 750ti kupanda, kama unagota x265 ni gtx 1050ti kupanda na kama unataka Av1 basi hizi Rtx 40xx mpya zinapiga codecs zote.
Ila kama upo serious zaidi huwa best way ni kutumia Cpu, tafuta Ryzen ama Intel Gen 12 kupanda zenye core nyingi kadri iwezekanavyo.
MmmmhNjoo nikuuzie gaming pc. Full setup kwa M3.2οΏΌ
Yah sure. It's for sale. Inatumia Ryzen 7, 32GB DDR4 3200Mhz Ram, Nvidia GTX 1080 8GB Vram, SSD 1TB & SSD 256GB, LG 25inch wide monitor, Gaming keyboard & Gaming mouseMmmmh
Nafanyia vfx na 3d safi kabisaYah sure. It's for sale. Inatumia Ryzen 7, 32GB DDR4 3200Mhz Ram, Nvidia GTX 1080 8GB Vram, SSD 1TB & SSD 256GB, LG 25inch wide monitor, Gaming keyboard & Gaming mouse
Haha nilikuwa curious tu sina shida na hayo ma game nimecheza sana tu. ππππYah sure. It's for sale. Inatumia Ryzen 7, 32GB DDR4 3200Mhz Ram, Nvidia GTX 1080 8GB Vram, SSD 1TB & SSD 256GB, LG 25inch wide monitor, Gaming keyboard & Gaming mouse
Nina mashine mpya hio ipo tu kwa ajili ya kufanya rendering.Haha nilikuwa curious tu sina shida na hayo ma game nimecheza sana tu. ππππ
We kwann unaiuza sasa πππ
Ok sawasawa sio mbayaNina mashine mpya hio ipo tu kwa ajili ya kufanya rendering.
Rendering ni kama kukaanga chipsi zikiiva unakulaOk sawasawa sio mbaya
We endelea kutafuta tafuta mteja
nikiwa nashida nayo ntakujuza sijafikia kiwango hicho bado
Maana ya rendering ni nn kwani
Daah kwaiyo umeona unijibu pumba poa tu πRendering ni kama kukaanga chipsi zikiiva unakula
Amna nimetolea mfano wa chakula ila process ni hiyo hiyo. Kuedit ni kama kumenya viazi ukimaliza unaweka kwenye karai unakaanga. Yaani unafanya rendering. Baada ya rendering unapata final product, chipsi yaani video au pichaDaah kwaiyo umeona unijibu pumba poa tu π
πππ Ni kuexport kwa lugha nyepesiAmna nimetolea mfano wa chakula ila process ni hiyo hiyo. Kuedit ni kama kumenya viazi ukimaliza unaweka kwenye karai unakaanga. Yaani unafanya rendering. Baada ya rendering unapata final product, chipsi yaani video au picha
Woiii mi hayo mambo sielewi acha nibaki na programming yangu tu ππππ Ni kuexport kwa lugha nyepesi