Ushauri wa kununua desktop ya video production na graphic design

Software zenye Quicksync ni zipi, NvenC na VCe ni zipi?
Unaangalia kwenye minimum/recommended specs za software yako kuona.

Mfano hii ni minimum requirement ya premiere


Minimum ni gen ya 6 intel na recomended ni gen ya 7 Quicksync. Pia chini wameelezea zaidi kwenye Hevc/x265 gen ya 7 inahandle 8bit tu ukitaka kurender 10bit utahitaji angalau gen ya 9.

So kabla hujadownload software yoyote unacheki requirements kwanza.

Ambazo binafsi nimetumia Handbrake na Cyberlink powerdirector nafahamu zina Quicksync.

Pia tip nyengine kama machine yako haina uwezo unatafuta version za zamani mfano premiere cs3 mpaka cs6 zinarun machine nyingi tu lowend, utamiss features ila kazi inafanyika.
 
Mimi nikitaka PC nzur ya video editing, graphics na animation ni PC gan nzur inafaa Kwa specifications zake
 
Mimi nikitaka PC nzur ya video editing, graphics na animation ni PC gan nzur inafaa Kwa specifications zake
Si ndio hio nimeelezea mkuu? Maana mtoa mada anafanya video production, ila kwenye Animation blender inataka cpu/Gpu ya maana Kina Quicksync hawatakusaidia sana. Inategemea pia na Budget yako.
 
i5 ama i7 gen ya 8 ni rahisi kupata, naziona jiji i5 hapa kwa 450k, uta edit video kwa program zinazotumia Quicksync.

Then vuta pumzi baadae uvute lowend dedicated gpu.
Huyu mjomba ni gen ya ngapi ?
je anafaa kwa hizo mambo pamoja na gaming?
 
i5 ama i7 gen ya 8 ni rahisi kupata, naziona jiji i5 hapa kwa 450k, uta edit video kwa program zinazotumia Quicksync.

Then vuta pumzi baadae uvute lowend dedicated gpu.
Unaweza nitajia japo duka moja hapa mjini
 
Unaweza nitajia japo duka moja hapa mjini
Maduka naweza kutajia wapo kaale, Discountkubwa, maduka ya Likoni na Agrey kkoo, Machinga complex, uhuru etc.

Ila tofauti na simu computer zina variant sana, same model optiplex 3060 inaweza kuja na Intel pentium, i3, i5, i7 etc ikaja na Ryzen hivyo hivyo 3, 5, 7 etc so naweza kukuambia kachukue duka fulani optiplex fulani ukapewa model ambayo haitakusaidia vyema ujue ni specs gani mwenyewe ili ukague na kuchukua kitu kitachokidhi mahitaji yako.

Mfano hizi unaweza wapigia ukawauliza duka lao


Bei hio ni chini ya budget yako, washushe kidogo hapo change inayobaki nunua ssd na ram angalau 4GB ili iwe 8GB total kwa kuanzia si mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…