mtuwatofauti
Member
- Jan 21, 2017
- 25
- 8
Usifanye hivyo nenda mwenyewe ukakabidhiane serikali za mitaa watu siku hizi siyo waaminifu hata kidogo, jana kuna mtu alimtumia mtu hela amletee ng'ombe yule mtu kanunua ng'ombe kaleta dar kauza huku wanawasiliana vizuri badaye kazima cm kupiga huko kijijini anaambiwa huyu mtu kahama juzi tu na familia yake ndo kufuatilia mawasiliano yake kuja kumpata dalali alikuwa anamtafutia nyumba ya kuishi, sasa kama unataka kudhurumiwa tuma helaNaomba ushauri wanaJF,
Natarajia kununua miti mia mbili yenye umri wa miaka minne kwa bei ya sh 760,000/=. Biashara itafanyika kwa kutuma pesa kwa M-pesa mimi ntaenda kuiona Mwezi wa sita. Kwa sasa kuna mtu huko atakayefanya makubaliano ya awali.
Vipi imekaaje hiyo?
ndugu yangu utaingingizwa chaka ni bora uende mwenyewe huko ukakabidhiwe mbele ya mashahidi au mwenyekiti wa serikali za mitaa kama inawezekana ukituma hela itakula kwako ndugu yangu utatapeliwa usijue la kufanya siku hizi hakuna kumwamini mtu ni bora upange safari uende mwenyeweNaomba ushauri wanaJF,
Natarajia kununua miti mia mbili yenye umri wa miaka minne kwa bei ya sh 760,000/=. Biashara itafanyika kwa kutuma pesa kwa M-pesa mimi ntaenda kuiona Mwezi wa sita. Kwa sasa kuna mtu huko atakayefanya makubaliano ya awali.
Vipi imekaaje hiyo?
Hahaaaa mie umenikumbusha nilifanya safari ya kufika Uluti...umenikumbusha sfari yangu ya kwnda Kijiji cha Itonya nilikua napiga kambi hapo Idete.
Nenda kwanza ukapaone, palivyo mbali kutoka kilolo ukidhulumiwa hata kufuatilia utakata tamaa,
Kuna bus moja tu inaenda huko kutoka Iringa, kuna guest house 2 tu last time nimeenda room ilikua Tsh.2500 na unaoga nje kwny bafu ilizongushiwa miti.
Dah asee juzi nimetoka ludewa nimekuta mashamba yaliyoungua hadi nikajisikia chozi kunishuka. Pia kuna hii njia ya songea,mbea kabla hujafika lilondo kuna mengine moto umepita ajabu dah!Nenda uione miti, hesabu idadi, wafahamu majirani wanaopakana na shamba, andikishaneni serikali ya kitongoji /kijiji, shiriki taratibu za kupambana na moto unapotokea.
Mi nlikuwa njombe juzi mkuu dah wilaya ya ludewa huko kuna kijiji kinaitwa mavanga duh mbali kupindukia kutoka tuu njombe to mavanga nauli 10000umenikumbusha sfari yangu ya kwnda Kijiji cha Itonya nilikua napiga kambi hapo Idete.