Ushauri wa kununua photo copy machine ipi nzuri?

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
94
Nataka kununua photocopy machine ambayo itadumu na haitanipa shida
sijawahi kutumia na sijui nzuri ni ipi
ila ninahitaji medium size maana sina hela ya zile kubwa ninazoziona kwenye biashara za watu
naomba ushauri wenu wapendwa wa jamii forums
asanteni
 
Check canon iR2016, tembelea maduka ya samora pale jengo la PPF house pia na pale pembeni ya askari. Ila pale huwa wana bei sana pengine ips bulding opp na S.H amon duka linaitwa click computer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…