bigjeff
Senior Member
- Oct 25, 2009
- 111
- 22
Wandugu habari zenu kama muonavyo kwenye picha ni viwanja viwili na kimoja kina nyumba imepangishwa ingine ndio tulikuwa tunajivuta tuimalizie lakini naona eneo hili ni zuri kama tungeviunganisha pamoja tukajenga apartment sasa kusema kweli uzoefu wahi sector bado najifunza kwahiyo ningependa wataalamu wanipe ushauri na pia tatizo kubwa ni fedha za kufanya hii project..asanteni