NENDA BRELA KASAJULI JINA LA BIASHARA YAKO, gharama yake haizidi TSH 16,000/- Ukipata hiyo certificate of business registration usually zinakuwa 2 kisha nenda TRA ukachukue TIN na baada nenda manispaa/halmashauri kachukue leseni ya biashara, chukua document zako hizi nenda benk kafungue a/c kisha anza kutengeneza pesa kwa kwenda mbele mkuu.