Ushauri wa lishe kwa watoto mapacha wa miezi miwili

kiizarob

Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
40
Reaction score
21
Habari wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada.

Nina watoto mapacha wana miez miwili sasa. Kiukweli wameanza kusumbua hivi karibuni nafkri ni kutokana na kutotoshelezwa na maziwa ya mama. Nafkria kuanza kuwapa maziwa ya ng'ombe ila watakuwa wanaendelea pia kunyonya kwa mama yao.

Ushauri juu ya hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…