Ushauri wa lishe kwa wazee

Ushauri wa lishe kwa wazee

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Wazee hukabiliwa na tatizo la kupungua kwa kinga ya mwili, hali inayowafanywa wawe kwenye hatari kubwa ya kupatwa na magonjwa sugu hasa kisukari, shinikizo kubwa la damu pamoja na magonjwa mengine yanayohusisha maungio ya mwili na mifupa.

Hivyo, mlo sahihi unaoweza kukidhi haya ya uhitaji huu hupaswa kutolewa kwa wazee ili kuwalinda.

Kama sehemu ya mlo wao wa kila siku, mambo yafuatayo hushauriwa kuzingatiwa
  • Watumie vyakula vyenye wingi wa vitamini C ili kuongeza kinga ya kupambana na magonjwa. Inaweza kupatikana kirahisi kupitia matunda
  • Wapewe vyakula vyenye kiasi kikubwa cha protini ili kujenga misuli yao pamoja na kuweka sawa uwiano wa nishati mwilini
  • Wapatiwe maji ya kutosha ili kulinda afya ya figo, kuboresha mfumo wa chakula pamoja na kuweka uwiano sawa wa chumvichumvi muhimu za mwili
  • Mboga za majani ziwe sehemu muhimu ya mlo wao. Huwa na nyuzinyuzi zinazorahisisha choo pamoja na kuwakinga na saratani ya utumbo mkubwa
  • Wadhibitiwe kwenye matumizi ya sukari na chumvi nyingi. Huchangia kwa kiasi kikubwa kwenye kusababisha magonjwa sugu

Chanzo: Healthline
 
haya ndiyo ya maana siyo yule johnthebaptist kila siku mambo ya muuji Jiwe
 
Nakubali , maana uzee umeshagonga hodi
 
Back
Top Bottom