Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 578
- 2,614
haya ndiyo ya maana siyo yule johnthebaptist kila siku mambo ya muuji JiweWazee hukabiliwa na tatizo la kupungua kwa kinga ya mwili, hali inayowafanywa wawe kwenye hatari kubwa ya kupatwa na magonjwa sugu hasa kisukari, shinikizo kubwa la damu pamoja na magonjwa mengine yanayohusisha maungio ya mwili na mifupa.
Hivyo, mlo sahihi unaoweza kukidhi haya ya uhitaji huu hupaswa kutolewa kwa wazee ili kuwalinda.
Kama sehemu ya mlo wao wa kila siku, mambo yafuatayo hushauriwa kuzingatiwa
- Watumie vyakula vyenye wingi wa vitamini C ili kuongeza kinga ya kupambana na magonjwa. Inaweza kupatikana kirahisi kupitia matunda
- Wapewe vyakula vyenye kiasi kikubwa cha protini ili kujenga misuli yao pamoja na kuweka sawa uwiano wa nishati mwilini
- Wapatiwe maji ya kutosha ili kulinda afya ya figo, kuboresha mfumo wa chakula pamoja na kuweka uwiano sawa wa chumvichumvi muhimu za mwili
- Mboga za majani ziwe sehemu muhimu ya mlo wao. Huwa na nyuzinyuzi zinazorahisisha choo pamoja na kuwakinga na saratani ya utumbo mkubwa
- Wadhibitiwe kwenye matumizi ya sukari na chumvi nyingi. Huchangia kwa kiasi kikubwa kwenye kusababisha magonjwa sugu
Chanzo: Healthline
Chadema Wazee wameisha kabaki Benson pekeehaya ndiyo ya maana siyo yule johnthebaptist kila siku mambo ya muuji Jiwe
Chadema mpaka inaogopwa na kufungia mikutano ya siasa, halafu useme wazee wameishaChadema Wazee wameisha kabaki Benson pekee
Nakubali , maana uzee umeshagonga hodiWazee hukabiliwa na tatizo la kupungua kwa kinga ya mwili, hali inayowafanywa wawe kwenye hatari kubwa ya kupatwa na magonjwa sugu hasa kisukari, shinikizo kubwa la damu pamoja na magonjwa mengine yanayohusisha maungio ya mwili na mifupa.