Ushauri wa Mabati bora ya kuezeka Nyumba

Ushauri wa Mabati bora ya kuezeka Nyumba

clinician

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
2,098
Reaction score
4,926
Wakuu! Nimewakusanya hapa nataka tushauriane kuhusu bati bora za kuezeka nyumba.

Zipo nyuzi nyingi humu nimepitia kuhusu hii mada.

Nafahamu wengi wanashauri kuezeka kwa bati za ALAF.

Lakini kuna hoja kwamba ALAF anauzia brand,kwamba kuna kampuni nyingine nzuri zinafanya vizuri lakini hazina brand kubwa.

Lengo la uzi huu ni kuangalia hizo kampuni nyingine kama kweli zina ubora.

Ukiacha ALAF kampuni nyingine inayotajwa sana kama mbadala ni SUNSHARE.

Fundi wangu amenishauri kampuni inaitwa POLARIS,je kuna mwenye experience na kampuni hii?
 
Umeamua kuja kuizindua kampuni yako huku JF. Sawa mkuu. Nikifikia hatua ya kuezeka nitakucheki
 
Back
Top Bottom