Ushauri wa mabati yanayotengenezwa na Snow leopard building materials

Mringo

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2010
Posts
320
Reaction score
100
Wadau naombeni ushauri nataka kununua Mabati yanayotengenezwa na kampuni ya snow leopard building materials ya yabata segerea.
Nimeona bei zao zipo fair na nimevutiwa nao ila sijajua ubora wa bidhaa zao.. Kwa anayewafahamu na kufahamu bidhaa zao tafadhali nishaurini
 
ngoja watalamu wa ujenzi waje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…