Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Ushauri wa Maboresho kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, maandishi yote yaandikwe kwa kuchomwa au kwa kutumia Permanent Ink for plastic ili yasifutike kwa haraka
Ili kuboresha vitambulisho vya Taifa vidumu kwa muda mrefu zaidi kuna haja ya maandishi kuandikwa na Mashine zenye uwezo wa kuchoma badala ya rangi ya kawaida ila yasifutike hii itasaidia kuepusha gharama za maboresho ya mara kwa mara
Kuna baadhi ya Vitambulisho vimefutika Majina, ID number na taarifa nyingine za muhimu madhara yake vinakuwa invalid na kumpa mwananchi usumbufu na gharama ya kutengeneza upya