Ushauri wa matibabu ya PCOS

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
770
Reaction score
794
wadau mke wangu ana tatizo hilo la pcos ametumia dawa mpaka basi toka kariuki,hindul mandal,regency .naomba aliye na udhoefu na hili tatizo na anayemjua Dr mzuri atupe msaada na je operation ndio tiba pekee ya ugonjwa huu wengi wametushauri hivyo.....
 
Poleni sana,madaktari watakushauri operation kama tatizo limekuwa kubwa vinginevyo dawa pia zinamaliza, jaribu kwa Prof Mgaya wa muhimbili lkn anapatikana pia Maria clinic au TMJ Dr Yunusa yule baba ni mzuri,zaidi sana Mungu amponye
 
Mke wangu alikuwa na tatizo kama hili. Alifanyiwa operation Agakhan na Dr. Shafik. Tuna mtoto mmoja na tunategemea wa pili mwakani mwezi wa tatu.
 
Mke wangu alikuwa na tatizo kama hili. Alifanyiwa operation Agakhan na Dr. Shafik. Tuna mtoto mmoja na tunategemea wa pili mwakani mwezi wa tatu.

ahsante wadau kwa ushauri operation agakhan ilikugarim na vipimo kama sh.ngapi tuenda tumejipanga kama dr atamua hivyo tuwe tayari kabisa
 
ahsante wadau kwa ushauri operation agakhan ilikugarim na vipimo kama sh.ngapi tuenda tumejipanga kama dr atamua hivyo tuwe tayari kabisa

Aisee sikumbuki vizuri lakini ni zaidi ya 1M operation tu bila dawa.
 
Hindu mandal mlimuona dr Kocher(yule mbibi)???mi alshawah nitibu bt vilikua vidogo sana akanipa dawa..
 
Hindu mandal mlimuona dr Kocher(yule mbibi)???mi alshawah nitibu bt vilikua vidogo sana akanipa dawa..

Alikuwa anatibiwa na dr mashavu pale mandal....regency ni dr getrude kairuki alikuwa anatibiwa na dr clementina....amewahi tibiwa na dr mgaya maria clinic kote ni dawa tu anapewa anameza kwa miaka minne sasa amefanyiwa vipimo vya mirija tmj....mayai kama yanapevuka regency na utra sound za kutosha hakuna tatizo zaid ya pcos...madawa yanamchosha sana sasa ndio maana nilikuwa nafikiria operation labda ingemsaidia nashukuru kwa maoni yenu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…