Ushauri wa mikopo na biashara

Yaani hizi taasisi za kitapeli na wizi wa kuongezea watu umaskini mbona zimeibuka kwa kasi siku hizi.
Yaani huyo unaweza kukuta ndio mjanja wa Ofisi halafu anaweka tangazo kama mtoto wa chekechekea.
Email account yenyewe ya mtaani.
Wewe mwenyewe unatakiwa ushauriwe kuhusu namna ya kufanya biashara,halafu utamshauri mtu vipi.

Hembu kuweni makini,msiangalie tu pesa,ndio maana wengi wenye kuanzisha hiz Micro finances na wadau wao kwa lengo la kuwapiga wenzo kwa riba za ujanja ujanja mwisho wake unasikia mara alikuwa anaumwa sukari,mara presha,mara figo limefeli,mara cancer, kumbe ni Laana.Pato halibariki hata utoe sadaka kila siku
 
asante kwa maoni yako zanzibar spices! ila usipende kuangalia negative side tu!
 
our oganisation ilisajiliwa na BRELA 23/09/2010 with reg no 211495 as a micro finance organisation na kupata TIN no 103-852-919, na kupata bararua ya BOT tarehe 15/12/2010 sio mbaya tukashare 4 yrs experience yetu ya mambo ya mikopo na biashara.
 
Asante mkuu,mie mwenyewe mkopaji nitakuja.
Ila ukiweka post humu lazima watu wachambue,maana watu wameishapigwa sana.
Sasa miaka minne ya kazi bila hata website?na hata official email?
Hao Brella na BOT ulipeleka gmail address kweli?
Mie naweza kuwa tofauti na watu wengi sana,yaani kama mtu unafanya any biashara inayohusu jamii kubwa,kuwa na website ni muhim sana,angalau hata pages 4 ambapo haifiki hata laki tatu kutengenezewa.
La sivyo utakluwa unaji limit kwa kukopesha wauza vitumbia tu na hizo 35% of interest.
Jipangeni kwanza,inasikitisha na kutia aibu Financial institute yenye uzoefu wa miaka minne ku operate kwa style hii.
Haya tuambie na office ipo wapi na number za sim ikiwemo landline
 
yap matapeli ni wengi na asante kwa ushauri wako! tupo bunju B, DAR ES SALAAM! karibu na UPENDO DISPENSARY. wewe unajishughulisha na nini labda tukakutembelea utupe ushauri zaidi?

NOTE;ila kuwa na website au official email! sio kumaanisha kuwa ofisi ni kubwa na ya uhakika! ofisi ina mambo mengi sana sio email mkuu.
 
kwanini mlikimbia ilala?"ref.number of bot letter" ili tujihakikishie usalama!jua humu unakuingia ktk wigo mpana zaidi!
 
kukujibu swali lako la email! BOT(directorate of banking supervision) wanachotaka waone ni mchanganuo wako wa biashara, brela doc, Bank statement(6 months), CV za owners etc pia wanakuja kukagua ofisi yenu! then unapewa barua copy inaenda wizara ya viwanda na biashara! ndio unapewa leseni! na sio EMAIL mkuu!
 
kwanini mlikimbia ilala?"ref.number of bot letter" ili tujihakikishie usalama!jua humu unakuingia ktk wigo mpana zaidi!

niqqas quote tumehamia BUNJU B kwenye jengo letu! kumbe unatufahamu ni kweli tulianzia ILALA, BOT ref FD. 349/442/01 kutoka microfinance supervision dept(DIRECTORATE OF BANKING SUPERVISON)
 
niqqas quote tumehamia BUNJU B kwenye jengo letu! kumbe unatufahamu ni kweli tulianzia ILALA, BOT ref FD. 349/442/01 kutoka microfinance supervision dept(DIRECTORATE OF BANKING SUPERVISON)
Mkuu umeeleweka,ila nakuomba sana suala na website na official email address weka prirority.
Maana inaonekana kama unaliona jepesi,ila ni muhim sana kwenye biashara,hasa ukizingatia kijana kama wewe then una ignore hilo,basi jua utakapokuja kujua umuhim wake muda unakuwa umeishapita.

Sasa nyie mnakopesha au ni washauri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…