wewe vipi mgawanyo wa serekali mbili ki vipi bakiyeni nayo nyinyi hayo madini kama mnavyo bakia navyo dhahabu almasi tznight na madini mengine yasikutoeni roho mafuta ya wapemba nyinyi bakiani nayo muunde mabomu ya kutuulia ili mpate mafuta za pemba
Kinacho hitajika ni Environmental Impact Assesment (EIA) ambayo itakuwa imezungumzia short term and long term effects za Uranium mining kwenye maeneo husika.
Kinacho hitajika ni Environmental Impact Assesment (EIA) ambayo itakuwa imezungumzia short term and long term effects za Uranium mining kwenye maeneo husika.
wakati mwingine ni kubalance mambo, maana huwezi ng'ang'ania short/long term Environment Impact wakati unakufa njaa.
Mafuta ni ya zanzibar..... na uranium ni ya bara kwisha hakuna mjadala.
Uranium imeshapatikana lakini mafuta ndo kwanza yanatafutwa !!Mafuta ni ya zanzibar..... na uranium ni ya bara kwisha hakuna mjadala.
Uranium imeshapatikana lakini mafuta ndo kwanza yanatafutwa !!
Zanzibar hawapati mgao wa mapato ya madini kama dhahabu na ndio maana hili kwenye Katiba sio suala la Muungano kama kodi. Zanzibar wanapata 4% ya mgao only kwa mapato ya Muungano. Also Zanzibar is NOT supposed to contribute 4% in order to get 4%. Zanzibar inapata 4% kwa kuwemo kwenye Muungano. Zanibar ikitoka kwenye Muungano, then it is only Tanganyika that will lose!Zanzibar sasa hivi inapata 4% ya mapato ya serikali. Mapato ya madini ni mapato ya serikali na kama kawaida mgao utakuwa uleule kwani serikali ya Tanzania si serikali ya bara ni ya nchi nzima. Kama kukipatikana mafuta pemba kitu ambacho hakipo mapato yataenda serikali kuu na mgao utaenda kama makubaliano 4%. Tanzania inatoa 4% ya mapato lakini Zanzibar haiingizi hata 2% ya mapato hivyo mapato ya madini kama dhahabu zanzibar wanapata mgao kama watanzania wengine. Tanzania ingekuwa na serikali moja ingesaidia wanzanzibar zaidi badala ya kukaa na lawama kila siku