They say birds with the same feather.............,Huna haja ya kumlaumu huyo mwanammke kwani mwanamme angetoa hela inayotakiwa nyundo ingeenda kuchukuliwa?wote wanamakosa ya Manslaughter hao.
Kwa pilato jamaa ajibu hivi "Huyu mwanamke niliyepewa niwe naye, amenipa nyundo, nami nikaua", then hakimu atamuuliza mwanamke, "ni kitu gani ulichotenda ewe mwanamke"?
They say birds with the same feather.............,Huna haja ya kumlaumu huyo mwanammke kwani mwanamme angetoa hela inayotakiwa nyundo ingeenda kuchukuliwa?wote wanamakosa ya Manslaughter hao.
Jamaa mmoja mkazi wa Arusha jana amemuua kondakta wa daladala kwa kushilikiana na mke wake. Jamaa huyo alikubaliana na kondakta nauli sh.750 lakini alipo fika kituo anacho shuka akatoa sh.200 ndipo mjadala mkali ukaanza baina yake na kondakta eneo lile ni jilani na makazi yake huyo jamaa, ugomvi ukaanze pale mke wa yule jamaa alienda nyumbani kuchukua nyundo nzito na kumpa mmewe, jamaa akaitumia kumbonda kondakta kichwani.
Mmmmh ni shilingi mia tano tu au kulikuwa na kisasi kingine juu yao. Lakini hawa inaonesha wanapendana na wanashirikiana vizuri.
Hata hivo huyu mwanamama ilibidi awe muamuzi wao bwana, yani roho ya mwanamke mara nyingi inatakiwa iende kinyume na roho ya mwanaume hasa kwene ishu za hatari kama hizi.
Jamaa mmoja mkazi wa Arusha jana amemuua kondakta wa daladala kwa kushilikiana na mke wake. Jamaa huyo alikubaliana na kondakta nauli sh.750 lakini alipo fika kituo anacho shuka akatoa sh.200 ndipo mjadala mkali ukaanza baina yake na kondakta eneo lile ni jilani na makazi yake huyo jamaa, ugomvi ukaanze pale mke wa yule jamaa alienda nyumbani kuchukua nyundo nzito na kumpa mmewe, jamaa akaitumia kumbonda kondakta kichwani.
Mwanamke alikuwa na nafasi kubwa ya kushusha munkari wa mme wake
mwanamme alikuwa na nafasi kubwa ya kulipa hela yote
Mwanamke naye alikuwa na utashi wa kufahamu kuwa aifuate hiyo nyundo au asiifuate
mwanamme alikuwa na nafasi kubwa ya kulipa hela yote
Kwa vile mwanaume alikuwa kafika nyumbani na kujisachi ana sh.200 mwanamke ilipaswa achukue jelo/500 ampe mmewe aongezee kuliko kuchukua Nyundo, mwanamke ndiye aliye mshawishi mwanaume kumuua kondakta