Ha ha ha ha ha ha ha lol!! wewe haujatulia kabisa nimecheka hapa acha tu watu mna visa
nimeipenda hii
:shock::shock::shock: We mwanamke muuaji kumbe
leo ndo unajua?after ol ziz yrs?we niguse tu nikuchane chane na viwembe
Acha tu, manake utakuta alikuwa anamtia moyo kweli kweli, maliza kabisa baba, ua hiyo takataka mpenzi, anatusumbua na shilingi mia tano tu mmalize huyo tuondoke zetu.
Kababa nako kakapata nguvu, kakamaliza kweli.
:shock::shock::shock:Huyo mwanamke aliyeenda kufuata nyundo nafikiri una undugu nae