IAmShedeOne
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 202
- 385
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushauri mtamu sana huu.
Wasanii wa bongo waache kuwekeza kwenye misambwanda, wawekeze kichwani.
Tangu aolewe anajielewa sanaHuyu dada anafanya nimpende zaid na zaid
Labda yeye muke ya mutu ndo maana [emoji6]Kwa hiyo nae ni wale wale ndio maana hatumiwi
HeehehehLabda yeye muke ya mutu ndo maana [emoji6]
Wanapenda shortcuts sanaKwanini wasifanye biashara zao, badala ya kukalia politic tu kila siku !
Kwa hiyo nae ni wale wale ndio maana hatumiwi