Wanapenda shortcuts sana
Mpeni basi hata ubalozi wa kuogelea kuhamasisha team ya taifa ya kuogelea.Acha wao waendelee kutuonyesha misambwanda kwenye swimming pool
Huyu dada aliwahi post video anacheza zumba...yupo vizuri sana kwenye yale mambo yetu. Busara hii aliyotoa leo nampongeza aliemuoa kwani kapata mke mwenye akili na mauno mujarabu
Huyo Sepenga anafikiri kuloweka matako kwenye swimming pool ndio kutamsaidia kupata soko..
Akili ya ovyo kama sura yake.