Ushauri wa spika bungeni kuhusu udaktari wa heshima (PhD)

Ushauri wa spika bungeni kuhusu udaktari wa heshima (PhD)

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
USHAURI WA SPIKA BUNGENI KUHUSU UDAKTARI WA HESHIMA (PhD)

Spika wa Bunge, Dr. Tulia Ackson ameshauri Taifa kufahamu utaratibu mzuri wa kutumika linapokuja suala la utoaji wa Degree za heshima kwa kuwa kuna wakati zinatolewa kama pipi na kutolewa kwa kila Mtu, jambo ambalo amesema halikubaliki kwa kuwa linalivunja heshima ya Taifa kwenye eneo la elimu na kwenye kuwapa heshima wanaostahili.

Kauli hiyo ya Spika Dr. Tulia Ackson inakuja baada ya Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi kuomba mwongozo kwa Spika kutaka kufahamu Vyuo vinavyotoa udaktari wa heshima ni kwa kiasi gani vinatambulika katika Mmlaka zinazosimamia elimu nchini pia baadhi ya Wabunge wenye muda mfupi Bungeni kutunikiwa Degree za heshima na Wakongwe kutopata hivyo ametaka kujua ni vigezo gani vinatumika.
 

Attachments

  • VID-20230209-WA0577(1).mp4
    14.4 MB
WIZARA ya ELIMU ipo kimya inashangilia kina BABU TALE NA MSUKUMA wakiitwa MADAKTARI kweli Tanzania NI JALALA
 
WIZARA ya ELIMU ipo kimya inashangilia kina BABU TALE NA MSUKUMA wakiitwa MADAKTARI kweli Tanzania NI JALALA
Waziri wa Elimu si kajibu kabla spika hajatoa maelezo.Mkuu humu Jf habari ni za mkato unaweza fuatilia pia nje ya JF.
 
Back
Top Bottom