nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
ungenijibu maswali yangu tungeelewana..
unajua maana pre nuptial agreement?
trust funds??????
wosia???????
wapo watu wanaishi kwa mali za babu,utasemaje hapo????/
huyo profesa ni hadithi nyingine,haihalalishi watu kuishi kienyeji still....
NN unaweza kuwa unabeba box huko M arekani
but kwa Watanzania wengi unaweza kuwa their Johnie Cochran aisee
mjadala unavyoenda utaanza ku appear kama GENIUS FULANI 'hivi
Tukirudi kwa average Tanzanian; hiyo ela ya kuweka trust fund unatoa wapi? Wakati mshahara si hajabu aufiki mwisho wa mwezi.
Na wale wenye uwezo jee haki yao ipotee kwa sababu wengi wa Watanzania mshahara hautoshelezi?
Tukirudi kwa average Tanzanian; hiyo ela ya kuweka trust fund unatoa wapi? Wakati mshahara si hajabu aufiki mwisho wa mwezi.
hiyo ya Trust funds nimekujibu kuhusu huyo
Professa uliyemtaja.....
na hata ukiwa average Tanzanian una uhakika gani utaendelea kuwa hivyo milele????/
na nini maana ya average? watu wana mashamba ekari 1000 na zaidi na wanaitwa masikini au walalahoi Tanzania..
Huu mjadala sidhani kama ni kwa ajili ya few people who have made it in life; hao wenye uwezo ni wachache sana; tuangalia tatizo kwa uhalisia wake.
Kama tunaongelea sheria ya ndoa sijuhi ibadilishwe; for who kama si wa Tz wote. Kugawana mali zipi wakati most Tz are poor?
Sana sana tunaongelea kumegeana vijishamba; sasa kuanza kuongelea trust funds Bongo ni unrealistic.

Unless you want to tell me that Tz is a middle income country.
Maana mi siku zote najua watanzania ni masikini au nimedanganyika.
DUH,kwa kweli unanipa kazi mpya kabisa....
uwe unapita jukwaa la Bussiness uone
Tanzania sio exceptional kwenye Globalization...
Wapo Wamarekani na watu wa nchi zingine wanakuja kununua stocks Daresalaam Stock Exchange...
very soon kutakuwa na watoto wanaolelewa na Trust Funds za wazazi wao waliokufa
na pengine tayari yanaendelea...
Kwa mjadala huu jibu hapo ni lipi kama si kuwa watu wanaingia kwenye ndoa ili wa divorce; lol.
Ngoja ni log off; lakini nikuache na tease moja hapa.
Hizo trust fund zinalea watoto?
Zinazuia mtoto asiteswe na mama kambo mama yake akifa?
Zinafanayaje kazi?
Nilidhani what they can do at most ni kulipa fee na mambo mengine ya kipesa na si MALEZI.
Ndio maana nikasema aliyekufa kafa.
inawezekana wanawake wanaopigania haki za wanawake
hawajaona jinsi lugha inavyowarudisha nyuma,
misamiati ya kuolewa na kuachwa inawaathiri zaidi kuliko tunavyofikiri...
Boss
unaweza kuta kijishamba cha urithi ndani kuna Urenium ..............utanambia hakina thamani?
Hhahaha!!! Usiku huu kwa jinsi nilivyocheka....lol