Aaaaawwwwwww....
To be realistic; hakuna mtu anayekaa kwenye ndoa ya mateso eti kwa sababu kuna mtu/watu wamemshauri avumilie; ni uamuzi wa mwanamke mwenyewe; kwenye ndoa ushauri wa pembeni una chance ndogo sana. Na ukichunguza utakuta bado mwanamke ana mapenzi kwa mume wake; yakiisha wala hatakuwa na muda wa kuomba ushauri.
But what I want ot say; divorce si kitu kizuri hata kidogo. Kuwa na wazazi ambao wako separate kunafanya mtoto ku feel homeless. Hakuna nyumba iliyokamili wakati mama anaishi kibaha baba mlandizi; watoto wanapata tabu sana kisaikolojia.
Nakumbuka mimi na mdogo wangu tulianza kuwa blame ndugu zetu wakubwa kuwa walikuwa wanapiga debe baba na mama watengane kwa kuwa wao walikuwa wameshakua na maisha yao; tulioteseka ni mimi na mdogo wangu.
I would rather share a house with my hubby than making my sons move from one house to another visiting their parents. That is the sacrifice I am ready to make.
mapenzi kwa mtu anaekutesa?
hii si ndo 'low self esteem??????
But what I want ot say; divorce si kitu kizuri hata kidogo.
Kuwa na wazazi ambao wako separate kunafanya mtoto ku feel homeless. Hakuna nyumba iliyokamili wakati mama anaishi kibaha baba mlandizi; watoto wanapata tabu sana kisaikolojia.
hapa ishu ni kwa nini wanawake wa kitanzania'hawataki hii option ya talaka'
system inabadilka taratibu....wapo wakina mama hapa tanzania pia wanaenda mahakamani..
hiyo American system ilikwenda ikibadilika mpaka ilipofikia hapo...huko nyuma haikuwa hivyo
ubaya wa dirvoce ni kwa watoto tu????
mbona wapo wanao ng'ang'ania ndoa na watoto washakuwa wakubwa
NN m goin 2bed nw
kesho nikija ntaka nikute ki BBC ..RIDHAA YA KISWAHILI KWENYE KILA TAMKO LAKO APA ..sawa?????????????
bye..km vp niote babu au sio?
Divorce si kitu kizuri hata kidogo? Hebu waambie hivyo wanawake walioambukizwa magonjwa ya zinaa na waume zao pamoja na kudundwa juu yake halafu wakawa na ujasiri wa kuwataliki hao waume zao usikie maoni yao!
Aah wapi! Hii si absolute. Kuna watoto ambao baba na mama zao hawaishi pamoja na wana furaha kupita maelezo and I can vouch for it.
Boss sasa kama watoto wameshakuwa wakubwa manake hata huyo mama keshazeeka; unataka aende wapi???
My mum ali divorce uzeeni ( nadhani alikuwa na almost 50) hakuolewa tena; ila uzuri wa watoto kuwa wakubwa maanake una wa kukutunza.
Watu walishangaa sana maana katika age yao divorce ni very rare.
But what I want ot say; divorce si kitu kizuri hata kidogo. Kuwa na wazazi ambao wako separate kunafanya mtoto ku feel homeless. Hakuna nyumba iliyokamili wakati mama anaishi kibaha baba mlandizi; watoto wanapata tabu sana kisaikolojia.
Nakumbuka mimi na mdogo wangu tulianza kuwa blame ndugu zetu wakubwa kuwa walikuwa wanapiga debe baba na mama watengane kwa kuwa wao walikuwa wameshakua na maisha yao; tulioteseka ni mimi na mdogo wangu.
I would rather share a house with my hubby than making my sons move from one house to another visiting their parents. That is the sacrifice I am ready to make.
...ndoa ni sawa na bank, anawekeza emotions zake kwa matarajio zitakuwa salama na kuzalisha riba...
kwanza, anajikubalisha kupoteza identity na kubadilishwa surname kuitwa mrs ze boss!
pili, anabeba mimba na kuzalishwa mtoto/watoto na kubadilishwa tena jina, anakuwa mama jnr ze boss
tatu, 75% ya muda wake anautumia upande wa mumewe na familia ya kiumeni, wakwe, mawifi, na mashemeji wake...
...leo hii kiurahisi rahisi tu mwanamke huyo unamwambia "there is insufficient love for your accout..." ...khaaa!?
hapana bana....wanawake wana sacrifice a lot, acha wazikubali talaka kwa shingo upande.
Unless you want to convince me kuwa wenye magonjwa ya zinaa wote wako kwenye ndoa.
Kuhusu divorce kuharibu watoto NN hiyo ni kweli.
Mfano baba na mama walipoachana mama alienda kukaa mitaa fulani hapa hapa dar. Sisi tumelelewa malezi ya kuto kulala kwa watu hata kwa ndugu; lakini the fact kwamba mama was somewhere else we had excuse; yaani hiyo ilikuwa ni loophole hata ya kudanganya "baba naenda kulala kwa mama leo" kumbe mtu uko kwenye mishe mishe zako.
And we knew that they wont communicate.
Baba akikuudhi huyo unaenda kwa mama and vice versa. Ni mbaya sana kwa teenagers.
aende wapi????
mlizaliwa pamoja???
wanaoishi single milele je??
mama yako ni very 'rare' kwa wabongo
na hili la wanawake kushauriana 'kuvumilia'
wakati unaona mtu anateseka likoje from your experience??????
ukiwalea watoto kwa nidhamu ya woga
basi lazima watajiona 'wamekuwa huru' baada ya divorce
tatizo ni aina ya malezi....na sio divorce.......
mbona wadada wameuchuna humu?kuhusu suala la talaka.kuandika humu ni rahisi kuliko kutekeleza,ukishakuwa katika hiyo position ndio unaelewa zaidi,kwanza jamii yetu talaka ni kama taboo fulani{ila kwa watu wa pwani ni kama tofauti}pili utegemezi unakufanya mtu bora ubaki hapo hapo. na mara nyingi mkiachana lawama zinamuangukia mwanamke,jambo jengine mali,pengine mmechuma wote na wote mmekuwa watu wazima,unaona bora tubanane hapa hapaWatu hawazaliwi pamoja lakini maisha baada ya divorce ni a big shock and loss.
Kuna dependence inayo develop no matter how rich both couples are.
Ndio maana wengi wanaoachana (nazungumzia wale ambao ndoa zao zilikuwa based kwenye real love) wanaishia kuchemsha kweny future relatinships na wengine kufikia hata kurudiana.
Kwa ufupi watu hao wanakuwa na makovu maisha yao yote.