Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Boss wewe unaongelea college; college mtu mzima kabisa; mimi naongelea watoto wadogo a.k.a. malaika.
Na ukimuangalia Obama unadhani anaweza rudia mistake ya wazazi wake au ata protect ndoa yake at any cost??? Anajua utamu wa divorce na nina imani atakuwa best husband.
Can a single parent offer all that? Ukizingatia kuwa ukiwa single unabidi u double utafutaji wa pesa kwa ajili ya watoto; will you have time to show love to your kids au unalea kijeshi jeshi mradi unaprovide basi?
as single parent malezi yanakuwa magumu kwa vile hakutakuwa na mtu ambaye atasaidia kukurekebisha pindi utakapowapeleka isivyo katika malezi.. na pia utakuwa na hasira au kisirani itapelekea kuwaburuza watoto na si kuwapa malezi sahihi
as single parent malezi yanakuwa magumu kwa vile hakutakuwa na mtu ambaye atasaidia kukurekebisha pindi utakapowapeleka isivyo katika malezi.. na pia utakuwa na hasira au kisirani itapelekea kuwaburuza watoto na si kuwapa malezi sahihi
kisirani cha nini?
wapo wababa wanatoa huduma na kuzungumza vizuri tu na ma x wife wao
Tena hasa wamama; unaweza sikia "msinisumbue ntawarudisha kwa baba yenu mama yenu wa kambo hawanyooshe" Hapo ameombwa ela; hana au amepika dagaa watoto wamegoma kula.
Hayo ndio malezi kwa watoto?
kisirani cha nini?
wapo wababa wanatoa huduma na kuzungumza vizuri tu na ma x wife wao
kuna wengine wanatumia watoto kama kuwanyanya wenza wao , mfano kupandikiza chuki kwa watoto ili waone upande wa pili una tatizo au umewatelekeza lakini hii inatoka na kiburi na dharau cha mmoja wapo
Kutokana na ugumu wa maisha na fact kwamba wengi hawaachani kwa wema; ni very rare na narudia very rare kwa wababa kutunza watoto baada ya divorce unless umwachie hao watoto.
Sisi baba aliendelea kutulea kwa kuwa hatukwenda popote; but am sure tungeenda kukaa na mama tusingeambulia hata senti tano.
Huwa kuna ka ushindani fulani baada ya divorce; ukijidai kuchukua watoto jua fika mwanaume ni ngumu kutuma ela ya matunzo ili ushindwe akwambie lete wanangu.
mnatakiwa kufundishana kuibadili hiyo mentality
hao wanaume wamezaliwa na nani?si akina mama?
mbona nchi nyingi wameweza mpaka sharti la mwanaume kuhama nyumba
na kumwachia mkewe na watoto na huku akitoa matumizi..
tena nchi za kiarabu zenye mfumo dume pia????
watu wakielimishwa wanabadilika kuliko kuambiana 'vumilia mateso'
mbona mengine mnahamasishana?????/
nadhani sisi sheria zetu haziko wazi sana na wengi hawaelewi zinasemaje zaidi ya mawazo binafsi ya mtu au kundi la watu .. maana wenzetu wanaelewa nini jukumu lao na wanalifanya kwa upendo kwa vile hawapendi kupelekwa kwenye sheria
Mkuu halafu unajua Bongo ku-divorce ni ishu sana tena especially kwa mwanamkemimi huwa naongeza tu mke
hakuna divorce but wote wapo happy lol
two wrongs do not make it right
sheria ziwepo ama zisiwepo haihalilishi mtu kuambiwa 'avumilie mateso'
ni bora wote tukapigania sheria bora zitakazo mlinda mwanamke na watoto bila kumuonea
mwanaume zipitishwe
kuliko kuambiana 'ndoa ni msalaba wako'.....ujinga huu tuupige vita
Mkuu halafu unajua Bongo ku-divorce ni ishu sana tena especially kwa mwanamke
hii ni athari kubwa hasa ya mfumo dume, na kwa sasa hakuna uvumilivu tena ukienda kwenye vituo vidogo vya police kuna kesi nyingi sana za ndoa zinazohusisha unyanyasaji.. na kwa sisi wanaume tatizo kubwa tunaamini kwa kuwasusia wamama watoto ni kuwakomoa lakini kumbe tunawanyima haki za msingi watoto