K KDS Member Joined Apr 27, 2013 Posts 46 Reaction score 15 Aug 15, 2013 #1 Wakuu habari zenu. Nipo Korogwe nimebahatika kupata mkononi shilingi 4,000,000/=. Naomba mawazo yenu ya kitaalamu na uzoefu wa biashara. Nifanye biashara gani ili ziweze kunitoa? Naomba ushauri wenu kupitia jukwaa hili. asanteni.
Wakuu habari zenu. Nipo Korogwe nimebahatika kupata mkononi shilingi 4,000,000/=. Naomba mawazo yenu ya kitaalamu na uzoefu wa biashara. Nifanye biashara gani ili ziweze kunitoa? Naomba ushauri wenu kupitia jukwaa hili. asanteni.