Foffana JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 861 Reaction score 1,547 Oct 1, 2023 #1 Habari wakuu Niende moja kwa moja kwenye mada Nahitaji kuifahamu zaidi hii kozi ya Actuarial science kikubwa inahusika na nini?? Na marketability yake ipoje? Na ikitokea ukamaliza maeneo ya kufanya kazi ni katika field zipi?
Habari wakuu Niende moja kwa moja kwenye mada Nahitaji kuifahamu zaidi hii kozi ya Actuarial science kikubwa inahusika na nini?? Na marketability yake ipoje? Na ikitokea ukamaliza maeneo ya kufanya kazi ni katika field zipi?