Ushauri wa ufahamu Actuarial science

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
861
Reaction score
1,547
Habari wakuu
Niende moja kwa moja kwenye mada

Nahitaji kuifahamu zaidi hii kozi ya Actuarial science kikubwa inahusika na nini?? Na marketability yake ipoje?

Na ikitokea ukamaliza maeneo ya kufanya kazi ni katika field zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…