Ninayo nyumba Magomeni Dar, Je vipi ninaweza kuzitumia Bank kujenga Ghorofa Ambayo ikodishwe na kulipa Bank ? Naomba michango yenu wadau. Ahsante Sana.
Hio nyumba yako ndo itakuwa collateral, au unategemea kuibomoa ili ujenge ghorofa?
Nyumba yako ina thamani ya kiasi gani?
Una financial discipline?
Umesha design ghorofa yako?
Unayo hela ya kuwalipa professional team kabla ya kuomba mkopo?

Nyumba yangu ni yakawaoda ni lazima ibomolewe yote, bado sina ramani , ila ninao uwezo wa gharama hizo, thamani yake 300m kwa makisio kutokana na eneo husika. Ahsante sana.