J Jantisa Member Joined Feb 13, 2023 Posts 51 Reaction score 47 Aug 24, 2024 #1 Habari wakuu naomba ushauri wenu kwa eneo la ukubwa wa upana 10M kwa 10 M Na urefu wa 10.5M kwa 10.7M naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
Habari wakuu naomba ushauri wenu kwa eneo la ukubwa wa upana 10M kwa 10 M Na urefu wa 10.5M kwa 10.7M naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 2,582 Reaction score 4,554 Aug 25, 2024 #2 Hapa kiubishi vitatu vinatoka ila kutakuwa hakuna hata uchochoro
Juice world JF-Expert Member Joined Jun 7, 2022 Posts 1,982 Reaction score 2,706 Aug 25, 2024 #3 Unamaanisha miguu 10 Kwa 10
J Jantisa Member Joined Feb 13, 2023 Posts 51 Reaction score 47 Aug 25, 2024 Thread starter #5 Mr Money5 said: Unamaanisha miguu 10 Kwa 10 Click to expand... Ndio
L Ligas jr Senior Member Joined Mar 22, 2024 Posts 171 Reaction score 159 Aug 25, 2024 #6 Jenga duka pesa utakayoipata hap ndo ukajenge nyumba, miguu kumi kwa kumi hqmna kitu
Waka Waka JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 1,333 Reaction score 2,076 Aug 25, 2024 #7 All the best