Ushauri wa ujenzi

Jantisa

Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
51
Reaction score
47
Habari wakuu naomba ushauri wenu kwa eneo la ukubwa wa upana 10M kwa 10 M
Na urefu wa 10.5M kwa 10.7M naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
 
Hapa kiubishi vitatu vinatoka ila kutakuwa hakuna hata uchochoro
 
Jenga duka pesa utakayoipata hap ndo ukajenge nyumba, miguu kumi kwa kumi hqmna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…