Ushauri wa ulaji wa mafuta wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000

eliji

Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
6
Reaction score
8
Habari wakuu,

Naomba ushauri Wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000 ulaji wa mafuta na pia kama mtu anayo ya 2004 namba D iliyo nyooka tuwasiliane
 
Mkuu kama hujaipata bado nicheki DM
 
Machine hii hapa, leteni hela.
IMG_20240111_164228.jpg
 
Ni kweli nimeingia hasara sana na hizo za kichina
Yes, nyingi ni za hovyo sanaa. Next time ukitaka rims za ukweli usiwe na haraka, kama huna budget ya kuagiza basi tembelea wale jamaa wanaouza spare used haswa kule shaurimoyo wale wanaokatakata magari, huwa wanakuwa na used ambazo ni OG zimevuliwa toka kwenye magari mengine au pia wao wanaleta toka Dubai.
 
Asante sana Mkuu baraka kwako
 
Naskia hizi gari za mark ii ni six inline cylinder vp matumizi ya mafuta kwa litre moja kwa uzoefu wako?
Nyingi ikiwa iko vizuri ni 8km/ L haswa kwa za Engine ya 1G nyingine sina uzoefu nazo.. Ulajinwake wa mafuta siyo kihivyo. Usisikilize maneno ya vijiweni ya watu ambao hawajawahi hata kumiliki baiskeli.
 
Hivi zipo ambazo ni 4cylinder?
 
Hivi zipo ambazo ni 4cylinder?
Kama siyo mtu wa mizunguko, tafuta moja hata kama ni 6 iwe Engine Code ya 1G na CC zisizidi 2000. Ni gari nzuri sana kwa matumizi ya nyumbani na ngumu sanaa
 
Back
Top Bottom