Amekuuliza kipato.M5 mpk 6 ndo bajeti yangu kk
Mkuu gari ni kulihudumia,Habari wana Jf ? Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha.
Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo itaendana na kipato changu na jinsi nitakavyoweza kuitunza pia. Wazo langu ni kununua used kwanza Kwa mtu
Mchango wenu wakuu
Nikushauri usinunue kwa mtuu utajuta wabongo magari mengi hayafanyiwi service nikaushauri nunua premio 1500cc hiyo autajutia maana hata matumizi ya mafuta inatumia kidogo au chukua Runx autajutia ila kwa mtuu hapanaHabari wana Jf ? Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha.
Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo itaendana na kipato changu na jinsi nitakavyoweza kuitunza pia. Wazo langu ni kununua used kwanza Kwa mtu
Mchango wenu wakuu
Kama kipato chako ndio hiko na hutaki stress, nakushauri usinunue gari na usije kudanganyika hata vits usinunue.Ok kipato changu ni 500k Kwa mwezi mkuu
Asante sana Kwa maarifa haya mkuu......wazo jipya kwangu hili piaMkuu gari ni kulihudumia,
Zipo brevis au gx100 mpaka za 2.5m.
Ila ukianza kuwaza wese na matengenezo kichwa kinawaka moto.
Kuna watu wamekushauri vitz siyo mbaya kwa kuanzia maisha. Japo mimi naziogopa sana gari ambazo zina engines za peke yake.
Yaani gari gari haishei engine na gari nyingine, huo ni msalaba.
So kwenye Vitz achana na 1sz na uchukue 2sz, 2nz au 1nz.
Hiyo 1sz imetumika kwenye gari tatu tu duniani ambazo ni toyota yaris, echo na hiyo vitz.
Mswaki wa hiyo engine ni 1.8M, ikikufia unaweza paki ndani.
Kila la heri.
Nashukuru kk ngoja nije inbox nipate machacheKama kipato chako ndio hiko na hutaki stress, nakushauri usinunue gari na usije kudanganyika hata vits usinunue.
Nina sababu zaidi ya 10 kukwambia hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo pesa haitoshi hata kula kwa mwezi moja.M5 mpk 6 ndo bajeti yangu kk
Kabisa!Kama kipato chako ndio hiko na hutaki stress, nakushauri usinunue gari na usije kudanganyika hata vits usinunue.
Nina sababu zaidi ya 10 kukwambia hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
ivi hamna pikipik ingine nzur ya kitofauti,maana ukiendesha. izo tvs au boxer unaonekana bodabodaHiyo pesa haitoshi hata kula kwa mwezi moja.
Gari ndogo kama ist , passo, starlet mafuta kwa siku si chini ya 20k i.e. lita 7
Bora ununue tvs au boxer