Ushauri wa uombaji mkopo

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
358
Habari wakuu,
Nimepitia banks na microfinances nyingi zinazotoa mkopo kuangalia criteria zao na naona criteria nyingi nafudhu ikiwemo ya Asset au Collaretal.

Criteria moja ambayo bado nahitaji ufafanuzi wa wazoefu ni kwenye kigezo cha biashara.

Kampuni yangu ni changa kabisa nahitaji mkopo as investment capital
Je bank njia ipi inaweza kuwa rahisi kwangu?

Naomba na ushauri mwengine wowote utakao nisaidia
Natanguliza shukurani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…