Kama inavyofahamika kuwa mwaka huu 2025 ni Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Mmesikia Vyama vya Upinzani wakilalamika jinsi wanavyohujumiwa kwenye chaguzi zilizopita na hasa chaguzi za Serikali za Mitaa 2024 na Vyama vingine vikitamka hadharani kuwa "NO REFORM NO ELECTION". Ushauri kwenu sasa.
(1) Mhakikishe uchaguzi huu unakuwa huru na wa haki
(2) Kuanzia sasa muanze utaratibu wa kutangaza, usaili na baadaye kuajiri watumishi wenu na siyo watumishi wa Serikali ambao kila mara Wapinzani wanawalalamikia.
(3) Muone uwezekano wa kutotumia vyombo vya usalama vya Serikali ambao Wapinzanbi wanawalalmikia sana.
(4) Epukeni upendeleo wa aina yeyote kwa Vyama vyote na mtende HAKI mbele ya Mwenyezi Mungu.