Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Tuko kwenye nyakati ambazo vijana wanawaona wazee ni washamba wasioelimika na wasiojua kitu.. Lakini pia tuko kwenye enzi ambazo kuna wazee waliogoma kuzeeka na wayafanyayo hawana tofauti na vijana.. Ila hili si la mada hii
Muktadha wa mada hii ni kuangazia baadhi ya ushauri wa wazee kwa vijana.Kuna ushauri mwingine una mapungufu mengi Kuna ushauri mwingine unakengeuka haki za kijana, Kuna ushauri mwingine unakinzana na uhalisia Kuna ushauri mwingine uko nyuma ya wakati
Ewe mzee mshauri kijana ajue kila anachofanya lakini asifanye kila anachojua/anachofahamu..!
Sisi wazee tuna nafasi ya kushauri kwakuwa tulishayapitia.. Je bila kijana kuyapitia kwanza na kuyajua unaweza kweli kumshauri na akakuelewa?
Mshauri kuhusu pombe mwenye kuijua ladha ya pombe. Mshauri kuhusu bangi mwenye kuijua ladha ya mjani😋
Mshauri kuhusu kigoli aliyekutana na mzoefu. Huwezi kumshauri mtu asinywe fanta ni mbaya wakati wewe ulishaionja na ukatoka salama.
Ushauri mwingine tumakinike jamani wazee wenzangu.
Naendelea..