Leo wikiendi hakuna kulala. Usiendekeze usingizi. Ukifa utalala sana kaburini mpaka mwili utoke wadudu. Wakati wa kukesha na kula bata ndio huu huu ukiwa hai'. Ushauri wa Mshauri wangu wa Masuala ya Kipumbafu, Anasa na Starehe
Sent using
Jamii Forums mobile app