mchambuzixx JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 1,292 Reaction score 946 Oct 5, 2012 #1 kuna rafiki yangu anafanya kazi ttcl amepewa barua ya termination of contract mkataba wake ulikuwa unaisha september 26 amepewa ghafla bila notification yoyote je hio ni sahihi ...anaweza kupata msaada wapi ?
kuna rafiki yangu anafanya kazi ttcl amepewa barua ya termination of contract mkataba wake ulikuwa unaisha september 26 amepewa ghafla bila notification yoyote je hio ni sahihi ...anaweza kupata msaada wapi ?
B bdo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,809 Reaction score 2,422 Oct 5, 2012 #2 Huo mkataba umesitishwa kwa sababu zipi? je mkataba wake wa ajira ulikuwa unasemaje katika kipengere cha kuacha au kuachishwa kazi?
Huo mkataba umesitishwa kwa sababu zipi? je mkataba wake wa ajira ulikuwa unasemaje katika kipengere cha kuacha au kuachishwa kazi?