Ushauri wadau!!

p.col

Senior Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
172
Reaction score
27
Habari wana Jf,mm ni muhitimu wa kidato cha sita PCM,hivi ni kozi ipi nikisomea natakwepa adha ya kutafuta ajira kwa muda mrefu baada ya kumaliza chuo?
 
Habari wana Jf,mm ni muhitimu wa kidato cha sita PCM,hivi ni kozi ipi nikisomea natakwepa adha ya kutafuta ajira kwa muda mrefu baada ya kumaliza chuo?

soko la ajira haliko stable kijana...mi mwenyewe wakat namaliza form 6 2008, niliambia B.com ndo kila kila kitu, matokeo yake mpaka leo ni utata tu mpaka nimeamua kuwa mjasiriamali!!
 
shukrani kaka kwa ushauri
 
Habari wana Jf,mm ni muhitimu wa kidato cha sita PCM,hivi ni kozi ipi nikisomea natakwepa adha ya kutafuta ajira kwa muda mrefu baada ya kumaliza chuo?

Ualimu..Hautapata shida kwenye kutafuta ajira
Kama ungekuwa na vigezo ungeenda for Afya huko ndio usingesumbuka kabisa kuwaza ajira
 
Biomedical engineering.....ndo kila kitu... Tanzania nzima wako 57 kati ya hao bachelor 8 na techn.49..mahitaji ni kila hospitali ya mkoa kuwa na biomedical engineer...your welcome
 
Zipo kozi nyingi wala usikatishwe tamaa japo usitegemee mteremko tuuuu wa ajira Tz hii, lakini kozi hizi zina soko lisiloweza kuisha maishani. Hizi ni Mechanical engineering, Civil engineering, Electrical engineering, petroleum engineering n.k. NB: usitarajie kuletewa ajira kwa kozi hizi, tafuta utapata maadam zinapatikana......utajiri hauletwi, unatafutwa!
 
ahsante mkuu,daah hiyo koz cjaiona kwny kitabu cha tcu
 
Habari wana Jf,mm ni muhitimu wa kidato cha sita PCM,hivi ni kozi ipi nikisomea natakwepa adha ya kutafuta ajira kwa muda mrefu baada ya kumaliza chuo?

Mawazo ya Diploma mkuu soma uwena PhD
 
ahsante broo,ila nackia ualimu unabanwa sana then mshahara kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…