donald james
Member
- Jan 6, 2014
- 43
- 7
Udsm wakianzisha course uje wameiaha jipanga usidhan chuo kama shule ya kata.kwanza umepata ngapi usije ukawa na point za big result now
Nakushauri usome ardhi but hata ukienda udsm sio mbaya coz ni wale wale tu,kuna machalii flani walisoma ardhi wameajiriwa hapo udsm kufundisha hio course
aaaaaanha,daah..!basi hapo ardhi itahusika ndugu,wanasema ni ngumu sana si ndio..?na kama mtu asiyejua kuchora inakuwaje?
Vp hiyo kozi heslb wanatoa loan?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
njoo ardhi dogo.... hio ya udsm ipe miaka kama mitatu mbele now mpya
nashukuru sana flyn rider hapo sasa hv nmepata mwanga kidogo ubarikiwe...
Daah, mkuu, unaweka hadi jina lake? Amekupa idhini?... mfano mzuri ni mkaka mmoja amemaliza 2011 anaitwa fadhil mhawila aliniambia kama aliingia pale hajui chochote kuhusu kuchora but amemaliza na kuwa among the best student wa mwaka huo na yupo vizuri kweli,...
Daah, mkuu, unaweka hadi jina lake? Amekupa idhini?
ardhi wamebobea kutoa hiyo course..so nenda ardhi mkuu....lakini mbona ardhi na ud mazingira ni ya palepale tu....utofauti ni ud ni largest inst,ardhi inafuata.....but in term of programmehabar zenu wadau wa elimu,mimi ni kijana niliyemalza form 6 mwaka huu,toka zaman nilkuwa nataman nisome UDSM lakn klchokuwa kinaniumiza kichwa ni kwamba kozi nnayoitaka(archtecture)haikuwepo na ilkuwa ARU lakn kwa bahat koz hyo imeanzishwa UDSM mwaka huu,tatzo linakuja naambiwa kwa sabab ya UZOEFU n bora nkasome ARDHI kuliko UDSM nnapopapenda,naomba ushauri wako mdau....
ardhi wamebobea kutoa hiyo course..so nenda ardhi mkuu....lakini mbona ardhi na ud mazingira ni ya palepale tu....utofauti ni ud ni largest inst,ardhi inafuata.....but in term of programme
habar zenu wadau wa elimu,mimi ni kijana niliyemalza form 6 mwaka huu,toka zaman nilkuwa nataman nisome UDSM lakn klchokuwa kinaniumiza kichwa ni kwamba kozi nnayoitaka(archtecture)haikuwepo na ilkuwa ARU lakn kwa bahat koz hyo imeanzishwa UDSM mwaka huu,tatzo linakuja naambiwa kwa sabab ya UZOEFU n bora nkasome ARDHI kuliko UDSM nnapopapenda,naomba ushauri wako mdau....
Umesoma combination gani wewe