glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,645
- 4,330
Saaaaalm...
Natumain week end imekaa poa sana kwako.
Bila kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye mada
Husika na kicha cha Uzi
Kuna jamaa angu mmoja n rafiki yangu kipnz
Leo kaja kwangu kutaka ushaur
Juu ya nn afanye.
Iko hivi kwao wamezaliwa watoto saba na yeye n watano kati yao
Wazaz wao walitangulia mbele za haki SKU sio nying sana kama miaka 2 sasa.
Katika urithi bahat mbaya baba hakuacha wosia wowote namna
Gain wagawane Mali.
Kwa bahat nzur waliachiwa nyumba kama tatu na magar 2.
Mwanzo walikua wakikubaliana
Vizur. Cha ajabu wenzake wamekua vichomi kwa kutaka nyumba ziuzwe na kila MTU apewe chake. Jambo ambalo n kinyume na makubaliano yao yamwanzon kwamba waliahidiana kuziendeleza Mali hzo.
Kiukweli amechanganyikiwa
Kwani Alisha anza kupanga mipango ming ya kuiendeleza by wenzake ndo wamepandwa na mashetan ya kuuza Mali.
Em kama we una ushaur gani kwake kumsaidia kimawazo?????
Nawasilisha.....