ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Habarini wakuu.... kesho ni tarehe 6/10/2014.... siku ambayo university of bagamoyo usajili na orientation course inaanza kama sikosei.... kutoka na maelezo ya join instruction yao ni kuwa orientation course itaanza tarehe 6 hadi 15/10/2014..... na wanataka wanafunzi wotr kujisajili katika office zao zilizo kawe karibu na radio times fm....na ili usajiliwe kwa watu wa science inabidi uwe na 1.75M.....hiyo ni nje ya hostel kwa semister ya kwanza....sasa hostel nimeambiwa ni laki saba.... jumla inatakiww niwe na 2.45M mahitaji pamoja na matumizi.... nauli toka kijijini kwetu na vingne vidogo vidogo ni zaidi ya hapo...na nyumbani tupo watu wawili mimi na kaka angu tunao hitaji pesa hizo....baba na mama ndo vileee..... nimejaribu kusubiri mkopo naona bado haujatoka na cjui hata kama watatoa nitapata au nitakosa haya sasa kesho chuo cjajianda hata na lolote hapa coz hadi sahizi cjajua tufanyaje.....nipo hapa kuomba ushauri wako nifanyaje ili kesho au kesho kutwa nieende chuo je nisubiri board ya mikopo au.....iwejeee nisi ende chuo mm kwanza ili bro aendeee au vipi hapo hapo kuna dogo yupo o-level ndo kwanza form 1 na analipa ada zaidi ya 1M....guyz naombeni ushauri nifanyajeeeeeee???? Kesho chuoo
Kma kuna mwingine ni university wa bagamoyo tujuane hapa tujue mambo ya hostel yana kuwaje au una ndugu ako nipe namba ake mm nitamtafuta tufahamiane tujue kule maisha yata kuwaje
KARIBU
Kma kuna mwingine ni university wa bagamoyo tujuane hapa tujue mambo ya hostel yana kuwaje au una ndugu ako nipe namba ake mm nitamtafuta tufahamiane tujue kule maisha yata kuwaje
KARIBU