LWITIKO LWITIKO
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 209
- 118
Kutokana na huduma duni za afya ktk maeneo mengi ya nchi yetu, nimefikiria kufungua japo maabara yenye viwango vizuri ktk kutoa huduma. Sasa naomba msaada kwenu wadau mnaofaham jinsi ya kupata vifaa bora vitakavyo rahisisha utoaji huduma bora zaidi, pili ghalama za manunuzi kwa ujumla na taratibu za kiselikali ktk kufanikisha hili. Natanguliza shukrani kwenu.