LWITIKO LWITIKO
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 209
- 118
Mkuu unawaza vipi kupata vifaa vya maabara wakati hujafikiria hata hatua za usajili ? Au ushamaliza huko?
Hapana ndio maana nataka kufaham hatua zote na mtaji wake kwaujumla binafsi sifaham lolote ila nimevutiwa tu na hiyo biashara.