Evvy jr
Senior Member
- Apr 23, 2017
- 148
- 189
Habari zenu wakuu! Poleni kwa kazi za kulegeza vyuma.
Naomba mnisaidie mawazo kwa huyu rafiki yangu. Jamaa kamaliza chuo mwaka huu na alikua na pesa kama laki 9 kwenye fixed account. Tarehe ya leo ndo alikua anaruhusiwa kuchukua pesa yake kutoka kwenye account. Sasa kinachompa mawazo ni kwamba atumie hiyo pesa kufanya biashara akiwa anaendelea kuishi kwao au atumie hiyo pesa kununua vitu vya ndani kisha ajitegemee? Anadai anaona aibu kukaa home maana umri umeenda (27yrs). Na hana kazi inayoweza kumpa kipato kwa sasa.
Naomba kuwasilisha....