Ushauri wako ni muhimu

Mtayarishaji

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
291
Reaction score
198
Inafahamika kwamba Ninjitsu ni staili au aina ya martial arts ambayo uki quilify unaitwa NINJA. Ninapenda kuwa NINJA ila sijui ni wapi nawezapata mahali wanapofundisha huo mchezo kwa hapa Tanzania.
 
Mkuu mbona hakuna chuo kinachofundisha mafunzo ya uninja humu tanzania.
 
Inafahamika kwamba Ninjitsu ni staili au aina ya martial arts ambayo uki quilify unaitwa NINJA. Ninapenda kuwa NINJA ila sijui ni wapi nawezapata mahali wanapofundisha huo mchezo kwa hapa Tanzania.
Wenzako wanajifunza wushu za rohoni ili wawe ni wenye kujihadhari kama nyoka na wasio na hatia kama Njiwa

Tena mwenzako kakushauri jufunze hata karate ili kidogo hata vibaka wasikusumbue

We unataka kuwa ninja.! Kwani kuna mtu unataka ukamuue.!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…