Ushauri wako unahitajika tafadhari

Ushauri wako unahitajika tafadhari

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
Hello Jf members
ninajambo linanitatiza nataka ku join open university of Tanzania mwaka huu kwa masomo ya shahada (degree) nishaurini kuhusu faida na hasara kabla sijafanya uamuzi huo!
NB:Your advice is very crucial!
 
Hasara na faida ya kujoin shule ili upate elimu ama hasara na faida ya kujoin Open University, please clarify then wachangiaji watakuja kwa wingi.Otherwise bado ni ambiguity
 
Endelea tu mkuu na shule faida ni nyingi kuliko hasara labda usiwe mtu wa kujituma, ila mie naona open university inapendeza zaidi kwa mtu ambae ana diploma / certificate in a certain field sasa anakwenda kuongeza ujuzi around ileile kozi ambayo alisoma diploma kutokana na mode ya ufundishaji wanayotumia, otherwise wewe piga shule kikubwa TCU wanakifahamu pia una fursa ya kufanya mambo yako mengine pia while studting plus ada yake ni chini
 
ooh! Sawa sawa niliamanisha hivi je kusoma open university kuna faida gani? Na hasara je?
 
aksante sana be blessed 4 your advice!
 
ooh! Sawa sawa niliamanisha hivi je kusoma open university kuna faida gani? Na hasara je?

Kusoma ni faida kwa kwenda mbele wala hakuna hasara,kwa Open unachukua muda mrefu kumaliza lkn kama unakuwa na shughuli zako inakuwa poa maana unakuwa huna haraka kihivo
 
nimekupata born again
aksante sana
 
Back
Top Bottom