ww ndio kwanza umetuma ujumbe tu,
kama kweli unampenda, chacharika kaka, si ajab mdada anataka kuona uko siriaz kias gan, sasa umepigwa chin mara ya kwanza....tena si umepigwa chini, mwenzio kakueleza anachotaka so kilichobaki ni ww kuchuja, unayaweza au la
hata hvyo hyo inaweza kuwa ni katika kukupima tu
ushaur...
fanya uonane nae, muongee uso kwa uso, hapo utaweza kumson hisia zake na kujua kama anamaanisha au la na ufanye nn
Jipange banaaaa, sometimes kuwa mbishi siyo ukikataliwa mara moja tu unaachia ngaz, kumbuka akina stak nataka wapo.....